Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kwahiyo unataka usemaje hapo? Maana unazunguka zunguka tuNimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Pole sana ndugu yangu......Mimi nipo nmelala tu sina amani tangu jana..hata mihangaikoni sijaenda leo najua sitaweza kufanya chochotekuna umuhimu wa wanaharakati km tundu lissu kutumia bullet proof cars na chama kiwawekee ulinzi wa private na uwe madhubuti.... maana wanavowanyanyasa hivi wapinzani ni dhahiri c maskini wa chini hatutakuja kukomboka...nipo nalia zangu km vile wamempiga baba angu so sad
Inawezekana.
Umesahau nafasi ya Mungu kumuepusha asie na hatia, mtetea wanyonge mkweli.Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
kumba habari unazo halafu watu wanakisia kisia tu...Hakuna aliyekosa shabaha pale....
Hivi Mh Lissu alikuwa anaendesha Gari mwenyewe? Kama alikuwa na Dereva je dereva yupo salama? Na kama kaumia mbona hatumpi pole? Kama hajaumia ilikuwaje akatoka salama kwenye hali ile? Kuna jambo chini ya Carpethapana mulitaka kumuuwa vidonda risasi 19 kanyweni mvinyo sasa
Sasa kilichokufanya u criticize maoni yangu ni nini wakati wewe mwenyewe huna Kitu...halafu umekaza tu fikiria nje ya box.Wewe mwenye kifikiri nje nje ya box huna cha kifikiri!!
Kama kawa source yako itakua"MANGE ALISEMA".Wale ni watu wa kukodisha kutoks nchi za jirani..! Hawajui mazingira vyema ya nchi na reaction ya watanzania walipiga risasi kiuoga sana..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma id.
Soma Id..!Mods uyu anafaa kutoa maelezo polisi.
Mungu yuko naLisu .hakuna chamafunzo sijui shabaha sijui vikaenda vikarudi .Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.