Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Kwahiyo unataka usemaje hapo? Maana unazunguka zunguka tu
 
kuna umuhimu wa wanaharakati km tundu lissu kutumia bullet proof cars na chama kiwawekee ulinzi wa private na uwe madhubuti.... maana wanavowanyanyasa hivi wapinzani ni dhahiri c maskini wa chini hatutakuja kukomboka...nipo nalia zangu km vile wamempiga baba angu so sad
Pole sana ndugu yangu......Mimi nipo nmelala tu sina amani tangu jana..hata mihangaikoni sijaenda leo najua sitaweza kufanya chochote
 
IMG_20170908_112836_066.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Umesahau nafasi ya Mungu kumuepusha asie na hatia, mtetea wanyonge mkweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili ni dhahiri shairi lisu anaombewa kuliko mtu yeyote hapa Tanzania hata hao wanaoomba maombi hawaombewi kama lisu Mungu ubarikiwe kwa sababu wapiga risasi walishindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, nimejaribu kukuonesha ambacho niliona kinaweza kukusaidia kuona angle nyingine ya ulichokua unawasilisha hapa jukwaani. uwezo wa kuona au kutokuona haupo ndani ya uwezo wangu bali wako.

Hivyo, kama hujaona kilichopo kwenye hayo maandishi, Itakua umesoma tu maneno ila sio kilicho kwenye maneno na nyuma ya hayo maneno. Maneno yote nilioyaandika pale niliyahesabu na hayajaandikwa ili mradi.

Asomaye na afahamu.
Sasa kilichokufanya u criticize maoni yangu ni nini wakati wewe mwenyewe huna Kitu...halafu umekaza tu fikiria nje ya box.Wewe mwenye kifikiri nje nje ya box huna cha kifikiri!!
 
Why put amateurs on a sensitive 'element' like that!?
a single shot would suffice
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Mungu yuko naLisu .hakuna chamafunzo sijui shabaha sijui vikaenda vikarudi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom