Matured person (male)

buyazi

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Habari za muda huu wana JF? Poleni na shughuli na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta partner wa maisha na leo nimeona nije humu nikiamini mume anapatikana popote pale, nina miaka 32 mkristo, naishi Dar. Natafuta mume ambaye anajitambua, mwenye kipato cha kuweza kukidhi mahitaji muhimu (awe ameajiriwa au amejiajiri) lakini halali, akiwa mkristo itapendeza zaidi, masuala ya elimu siyo ishu sana mana naamini walioko hapa wameenda shule.

Niko serious tusifanye utani unaweza tumia email hii kwa mawasiliano: moreenemmanuel@rocketmail.com au PM

Asante kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki
 
Naweza kumuwakilisha kakangu? I mean kuingia mkataba kwa niaba yake?
 
Kwenye kipato nipo nidisqualified.................vp unaweza kunipa probabation period ya kipato??????
 
King'asti;Naweza kumuwakilisha kakangu? I mean kuingia mkataba kwa niaba yake?

kwani yeye yuko wapi? Kwa nini asiwepo yeye binafsi nadhani hiyo haijakaa vizuri
 
THEDEALER;Kwenye kipato nipo nidisqualified.................vp unaweza kunipa probabation period ya kipato??????

ha ha ha!!!! Ya muda gani?
 
mie kwny kipato hapo..kidogo tiamajitiamaji..
ile navumilika kiduchu..naomba nijiwasilishe...
wewe niPM tu..
Ntashukuru..
 
Nina 28 na kipato cha kubadili mboga na kuvaa skuna na penzi nyanya kipo. Ninafaa?
 
32? Alikwina? Too old.
 
Huu ni ushauri nenda mtaani utafute vijana wanaopenda kulelewa na majimama ni ushauri tu mkuu
 
Wakati bado unatafuta naweza kuwepo "temporarily" kuondoleana stress??
 
Wakati bado unatafuta naweza kuwepo "temporarily" kuondoleana stress??
Duh, umeniwahi. Lakini cha msingi na mie pia nime-declare interest, kazi kwake mhusika wapi panamfaa kuondoa stress/
 
32? Alikwina? Too old.

Watu mnajifanya mnajua sana kila kitu.Kwani wewe ni Mungu mpka useme too old!?Amekuambia anakutaka wewe fom foo liva?!Si uwaachie wazee wenzie basi waendelee sio kila jambo lazima u comnent..
Mnaharibu JF
 
Hahahahahaha!
Ni sawa na ile style ya kesi ya nyani lol!
 
Watu mnajifanya mnajua sana kila kitu.Kwani wewe ni Mungu mpka useme too old!?Amekuambia anakutaka wewe fom foo liva?!Si uwaachie wazee wenzie basi waendelee sio kila jambo lazima u comnent..
Mnaharibu JF

asante mpendwa kwa kunisaidia kumjibu,
kaka naamini kuna watu wenye umri kama wangu wanatafuta wenza ndo mana nikapost hapa nikiamini nitapata anayelingana na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…