Habari za muda huu wana JF? Poleni na shughuli na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta partner wa maisha na leo nimeona nije humu nikiamini mume anapatikana popote pale, nina miaka 32 mkristo, naishi Dar. Natafuta mume ambaye anajitambua, mwenye kipato cha kuweza kukidhi mahitaji muhimu (awe ameajiriwa au amejiajiri) lakini halali, akiwa mkristo itapendeza zaidi, masuala ya elimu siyo ishu sana mana naamini walioko hapa wameenda shule.
Niko serious tusifanye utani unaweza tumia email hii kwa mawasiliano: moreenemmanuel@rocketmail.com au PM
Asante kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki
Niko serious tusifanye utani unaweza tumia email hii kwa mawasiliano: moreenemmanuel@rocketmail.com au PM
Asante kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki