Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
NI YULE YULE ALIYEMTOA BBC NA KUMLETA TVT...kwa hiyo ni lazima achunge maslahi yake
Na ninamini bila chembe ya shaka kwamba jana Tido alipigiwa simu na mmoja kati ya vigogo wa CCM kumuamuru akate matangazo – kwani nina hakika baada ya kukaa BBC miaka kadha Tido anajua maadili ya profession yake na hivyo uamuzi huo haukuwa wake.
=====Nimeshangaa kumwona kinana akijaribu kuleta propaganda baada ya kuzungumza ukweli,anadai dr slaa na marando wanawapotosha watanzania kwa kuwataja kwa majina wahusika wakuu wa sakata la epa,nani ni mgeni wa kashfa ya epa?anajaribu kuficha nini na kwa maslahi ya nani?uadilifu wake upo wapi?ni mzalendo kweli?klwanini asiende mahakamani kama anaona mgombea wao anakashfiwa kwa kuambiwa ni mshiriki ktk kukwapua rasilimali za watanzania?
Kwa maoni yangu naona kitendo hiki alichofanya Tido Mhando kukatisha matangazo kwa madai kuwa yaliyokuwa yakihutubiwa ni 'matusi', kimempunguzia kwa kiasi kikubwa, hadhi ya umakini wake wa kiitaaluma. Nitakuwa muangalifu sana siku zijazo kumuweka mtu kama huyu kuongoza chombo cha habari cha taifa.
kinana pia ni mwizi wa kutupwa ndiye anayeendesha biashara ya magendo ya nyara za taifa kama wanyama pori kwenda Nchi za Nje hususana Arabuni hana credibility ya kuongelea ufisadi wakati yeye mwenyewe ni jizi la kutupa
huyo kinana kwanza mfitini sana
hana jipya tusilolijua
NDIYO kikwete ana mkono wake pale EPA