matusi kwa watoto

matusi kwa watoto

clemencemlai

Member
Joined
May 3, 2010
Posts
24
Reaction score
2
je kumweleza mtoto mdogo ,kuwa ulipokuwa kijana ulikuwa ,natabia mbaya kwa jamii
mfano "mimi nilikuwa mwizi kitu hakinipiti,"strarehe napenda hasa ngono ,pombeka sana
dansi mpaka asubuhi. je kuna ulazima wowote kumjulisha mwanao hayo yote?
 
Mkuu kwa upeo wako wewe unaona kuna haja! hili swali lako halina maana hata kidogo...
 
ni nini unataka kumfundisha mwanao au kitu gani wataka kukijenga kwa mtoto??
 
je kumweleza mtoto mdogo ,kuwa ulipokuwa kijana ulikuwa ,natabia mbaya kwa jamii
mfano "mimi nilikuwa mwizi kitu hakinipiti,"strarehe napenda hasa ngono ,pombeka sana
dansi mpaka asubuhi. je kuna ulazima wowote kumjulisha mwanao hayo yote?

mzazi mara nyingi ni role model wa mtoto. Kwa hiyo ukimwambia mtoto mabaya tegemea na yeye atafanya hayo hayo, na mzazi hutakuwa na confidence ya kumkanya.
 
BEAUTFULlady na bpm. kwaufasaha hongera kwa kushiriki kutoa maoni jamii
itaendelea kuhitaji mchango wenu kwaustawi bora. big up
 
Mtoto hapaswi kujua maovu ya wazazi wake, wanayofanya au waliyofanya.
Mzazi ni role model wa mwanae.
 
je kumweleza mtoto mdogo ,kuwa ulipokuwa kijana ulikuwa ,natabia mbaya kwa jamii
mfano "mimi nilikuwa mwizi kitu hakinipiti,"strarehe napenda hasa ngono ,pombeka sana
dansi mpaka asubuhi. je kuna ulazima wowote kumjulisha mwanao hayo yote?

Thread mgando.
 
Cha muhimu mueleze yaliyo mema tu na si mengine
 
Back
Top Bottom