Matusi mengine kwenye Mpira wa Miguu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Simple logic ni kuwa Watu wanasema Clatous Chama anacheza chini ya kiwango kwenye big games, niwaulize swali kuna mechi ambayo Simba wamecheza vizuri then Chama hajaperform? Timu kama imeshikwa unatarajia afanye nini?

Game ya Simba vs Yanga ya 4-1, mechi ilikuwa nzuri akaonesha uwezo, mechi dhidi ya Yanga ya 2-0 akaonesha uwezo wake! Game ya Wydad home na hata away alicheza mpira kwakuwa timu inaflow vizuri na huduma zinafika kwake, ni mfano tu wa game ambazo Simba alicheza mpira.

Chama cant perform kama timu imeshikwa ila ataperform kama timu inacheza, vs Azam hata huduma kwao haifiki watu wanakata umeme katikati ulitarajia nini? Football ni collective sio Chama peke yake, Azam walihakikisha hawi huru na mpira, nafasi zilikuwa finyu.

Watu wanasahau hata game ambazo kuna muda uwezo wake binafsi unaamua game, thats football! Brilliance ipo lakini not every day na ndio maana timu zina Messi na Ronaldo na bado wanafungwa, uwezo binafsi upo ila timu lazima iwe katika level flani.

Its true ni ushindani wa Chama vs Chama, lakini lazima tutazame Simba kachezaje na Mpinzani amechezaje, mwisho wa siku thats football and Chama is the best!

Unfair kwa MVP! Top assist kwenye Premier League, moja kati ya Top scorers pale CAF na assists pia yupo miongoni mwao, tuheshimu mpira na tumheshimu Mchezaji Bora kuwahi kutokea, form is temporary but class is permanent.

Respect the GOAT @realclatouschama

JrFarhan[emoji3578]
 
Bora umejifungulia Uzi wa kuwatetea wachezaji wetu akiwemo chama. Jambo jingine ni kuwa ni vigumu mtu kujituma huku unaemtumikia unamdai masurufu.
 
Kwa haya maelezo uliyotoa yangekuwa na mantiki kama Aziz Stephane Ki asingelikuwepo Tz labda ingeweza kuwa kweli.
 
Kwa haya maelezo uliyotoa yangekuwa na mantiki kama Aziz Stephane Ki asingelikuwepo Tz labda ingeweza kuwa kweli.
Ndio tatizo lenu lilipo hapo,mmejifungia katika box la fikra
 
Mchezaji mwenye uwezo hategemei performance ya timu ndio aonekane kacheza....., Ukitaka kujua kuwa huyu unayemtetea hapa fuatilia mechi zote za CAF alizochaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki ni dhidi ya timu dhaifu Kama Horoya na vipers tu. Nje mechi hizo hamuoni tena.
Angalia uwezo wa saido haijalishi timu imepwaya au lah unaona yupo active na anaperfom vizuri... Suala la eti mpaka timu iwe vizuri hilo hata Mimi nikiingia kwenye kikosi cha timu inayoperfom vizuri mbona naupiga mwingi asee.
 
Chama ni mchezaji Mzuri......
Lakini tujiulize, tukiwa naye tutafika popote kimataifa.
With Chama as Kitovu cha timu tumeishia Robo mara 3.
Kuna dalili ya kufika popote? Tubadilishe team sasa, chama aendelee kuwepo.
Ila sio kama ilivyo sasa.....
 
sasa team ikiwa vizuri mean hata onyango atakuwa vizuri siku hiyo?
 
Kiufupi sio kwa Chama tu hata wachezaji Bora ulaya Messi. Cr7, Mbape, Halandinho Huwa wanapotea haswaa hasa pale timu inapokuwa Ina perform chin ya kiwango.

Wanaoponda Chama ni chuki zao binafsi yy ni nani a shine wakat timu nzima inavurunda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…