kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nimechoka nataka kulinda hadhi yangu je ninaweza kuchukua hatua gani za kisheria dhidi ya kinamama hawa wanaonitukania mke wangu ambaye ni mpole saana!Natamani hata kuua mtu kwani hawa watu ni wachokozi tu kwa kumwona mke wangu ni mpole na mimi niko busy sana kwa kazi.Naomba ushauri tafadhali naweza kuchukua hatua gani?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums