Matusi………………..!

Mi watu wanaotukana wananikera. Matusi yanayotumia viungo yanauma sana.
 
Jamani, mimi na Bishanga tulikuwa nje ya huu uzi wa Mutambuzi, hapo sizungumzii kufanya matusi! Asprin na The Boss acheni kubadilisha maana!..lol..

sasa rudini ndani ya mada tujadili matusi eboo?lol
 
kuna matusi ambayo sio ya viuongo????yapi hayo?????

Yapo mengi tu, kumbuka kwamba kuna watu hata ukiwaita kuwa wao ni wanene kama Mibuyu hukasirika, na wengine ukiwaita wembamba kama Chelewa (Kijiti kinachopatikana kwenye kuti la mnazi) nao hukasirika..........
 
tunaishi katika ulimwengu halisi na dhahania. ulimwengu dhahania, kupitia mawasilino yetu, tulianza kuvipa maana vitu mbalimbali. na mtusi yamepewa maana. ni kudhani tu lakini ukweli siyo kabisa.

tafuteni SYMBOLIC INTERACTIONSM THEORY, utajifunza mambo haya
 


Mkuu niruhusu nikutukane basi!! mbwa weeee, kenge weee, masaburi yako, paka shume wee, naniiii ya d..d.. yako, ha....s... wee!
 
Mkuu niruhusu nikutukane basi!! mbwa weeee, kenge weee, masaburi yako, paka shume wee, naniiii ya d..d.. yako, ha....s... wee!

Mbona hujamaliza.......ukitaka zaidi ni-PM umalize hamu yako, matusi kwangu sio Ishu, nitakujibu tu kuwa umekosea kwa kuwa mimi siko hivyo...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…