Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No no no no....... Hapo The Boss umechemka...........dada mdogo anaitwa "Kijidada"
Yoga nimefanya kidogo. Kwa sasa nafanya ya Path Society!
Jamani, mimi na Bishanga tulikuwa nje ya huu uzi wa Mutambuzi, hapo sizungumzii kufanya matusi! Asprin na The Boss acheni kubadilisha maana!..lol..
Jamani, mimi na Bishanga tulikuwa nje ya huu uzi wa Mutambuzi, hapo sizungumzii kufanya matusi! Asprin na The Boss acheni kubadilisha maana!..lol..
Takufundisha usijali.nifundishe na mimi!
Mi watu wanaotukana wananikera. Matusi yanayotumia viungo yanauma sana.
poa kakaKaka nipe muda nitaweka thread kuzungumzia hilo la mzazi ni mungu hapa duniani.................
kuna matusi ambayo sio ya viuongo????yapi hayo?????
Labda leo niwaulize wana JF wenzangu.....................
1. Matusi ni nini?
2. Nani alikuambia kwamba kuna matusi, au ni nani alikufundisha matusi?
3. Matusi yana athari yoyote?
5. Zipi hizo? ni kwa nini mtani (Kuna makabila huitana watani) wako akikutukana hukasiriki?
6. Kwa nini kama siyo mtani wako unakasirika?
Lakini mimi nina mtazamo tofauti..................
Matusi, ninavyofahamu mimi, ni ukweli wa mapokeo (perceived truth). Ukweli halisi (real truth) ni kwamba hakuna matusi, ila kuna maneno yanayowakilisha sehemu za mwili wako, wazazi wako, majina ya wanyama, ndege, wadudu, majina ya mahali (eneo) fulani au kabila fulani. Mfano: mtu akikuambia mbwa, hupaswi kukasirika, ila unatakiwa umwambie kwamba amekosea, wewe siyo mbwa, ni binadamu. Ila ukikasirika, unakuwa mbwa kweli. Tatizo kubwa ni tafsiri iliyowekwa kwenye mawazo yako ya kina (kwenye akili yako) !
kuna matusi ambayo sio ya viuongo????yapi hayo?????
Mkuu niruhusu nikutukane basi!! mbwa weeee, kenge weee, masaburi yako, paka shume wee, naniiii ya d..d.. yako, ha....s... wee!