Maua na nyasi za kisasa zahitajika

Maua na nyasi za kisasa zahitajika

mabesela

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,294
Reaction score
680
Habarini ndugu,
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Nahitaji maua ya aina mbalimbali na nyasi za kisasa nyembamba zenye umbo la bomba rangi kijani iliyokowa, hii ni kwa ajili ya bustani yenye ukubwa wa mita 50/50. Au naomba kuelekezwa ninapoweza kuzipata kwa aidha Moshi/Dsm.
Naomba kuwasilisha tafadhali.
 
Zinapatikana mkuu, pia tunakupandia na kudisine hotel yako 1.3M inatosha ila inategemea na ulipo. pm tuongee biashara mkuu,
 
Back
Top Bottom