Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake.
Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa kinamkwamisha ni maokoto, sasa kwa kuwa huduma imesogezwa mpaka hapo Mloganzira na bei pia ni ndogo safari hii Maua ameona aitumie vizuri fursa hiyo.
Kwa nchi za wenzetu ili kubadili muonekano wako haswa makalio inabidi utenge si chini ya milioni 50 ila kwa hapa bongo huduma hiyo inafanyika kwa milioni 12 tu.
Wadau mbalimbali wamshukia kuhusu uamuzi huo,wapo waliomuunga mkono na wapo waliopinga maamuzi yake.