Maua Sama ajitokeza hadharani kuongeza matiti Mloganzila

Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake
Asubiri matokeo yake uzeeni kama kweli atakubali kuzeeka
 
Usiweke series za kikorea katika grupu la vitu vya kipuuzi kama hivyo.
Mwanaume kufuatilia series za Kikorea siwezi sema ni mbaya lakini duh! au unakuta mwanaume unawahi nyumbani uwahi kuangalia Jua Kali, inatia mashaka.
 
Aende tu akajitengeneze kwa Sababu watu wamemwandama sana
 
Aende tu akajitengeneze kwa Sababu watu wamemwandama sana
Ukianza kuishi kwa kufuata maneno ya watu na kuwasikiliza wao wanataka uweje au kwa kuangalia watu wakupangie maisha yako basi ujue unapotea na unaishi utumwani,na maendeleo utaishia kuyaona kwenye tv tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…