Maua Sama atoa sababu za kuachia 'picha hizi tata'

Huu wimbo we acha tu.Mtoto loyal kama askari wa Uswizi wa Papa.

Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.

Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.

Ahahhahahaha unajikuta sababu ya masikio kuziba?

Mi huwa natamani ndo niwe namuimbia mtu,shiiiida sasa ni hii sauti ya zege!!
 
Kaka huyu hata kwenye “Vipaja” hajafikia, vipaja huwa na msisimko unaokaribia na ukiona Paja.
Huyu ana viguu kutoka kwenye maungio ya makalio mpaka chini.
Haha,halafu anadhani sisi ni ‘mbwa’ tule mifupa..!
 
sisikii naupenda sana unatamani mtoto wa kike akuambie hivyo na sauti flani hivi ila sasa
 
GUPAJA
 

Attachments

  • 0a1f58f51bb65853bf05ac8e6b527ab8.jpg
    93.2 KB · Views: 92
  • 7e1995a1e8dac8b3c914d42f35e18a97.jpg
    51.5 KB · Views: 85
Aongeze bidii, mikorogo bado haijakolea.
 
kiranga habari za siku nyingi ndugu angu eti dunia ni flat or globe

Flat ni nini?

Hata mnayoita flat yenyewe si flat.

The curvature of spacetime is curved by gravity, so around massive objects, such as the sun and the earth, space itself is bended and not flat.

Read Einstein's Relativity.Specifically General Relativity.

How can the earth be flat?
 
atajuta kuweka picha humu, duuuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…