billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
Sisikiii...
Mkuu Upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisikiii...
Nipo mkuu. Mambo vipi?Mkuu Upo?
Dah waswahili kwa kujua kunyambulisha si mchezo hahahahaha!Na kuna KIJIPAJA!!
Huu wimbo we acha tu.Mtoto loyal kama askari wa Uswizi wa Papa.
Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.
Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.
Jua kutofautisha mapaja na vipaja mkuu..!
[emoji23][emoji23][emoji23]Na kuna KIJIPAJA!!
Haha,halafu anadhani sisi ni ‘mbwa’ tule mifupa..!Kaka huyu hata kwenye “Vipaja” hajafikia, vipaja huwa na msisimko unaokaribia na ukiona Paja.
Huyu ana viguu kutoka kwenye maungio ya makalio mpaka chini.
HahahahahahaaaNa kuna KIJIPAJA!!
Kama nini?Mmh tupaja ss
kiranga habari za siku nyingi ndugu angu eti dunia ni flat or globeSisikiii...
kiranga habari za siku nyingi ndugu angu eti dunia ni flat or globe
atajuta kuweka picha humu, duuuuh. hebu tuweni wakweli huyu bado mtoto kabisa... Huwezi kumuita huyu ni mwanamke ila kwa kutaka ukubwa badala aache embe likomae lidondoke lenyewe likiwa limeiva yeye atalichuma changa kisha alivumbike.... Na ndio chanzo ukubwani kuitwa breki kendeView attachment 726253