Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Umeona ee ina miondoko ya kwangwaru lakini inaonekana itafanya vizuri sananyimbo kali sana sema miondoko ni ile ya kina kwangwaru ndomana umeona hance tone kaimba kama mond
Pili kumuiga mondi kwa msanii yoyote wa tanzania iwe kwaya hata ngoma ni jambo la kawaida sababu Mond ndo skeleton ya mziki wa Tanzania.
Kweli aiseeHii nyimbo nzuri,ila upande wa production beat yake sio nzuri kivile.Nyimbo kama hii ingempata Mika mwamba au akina Said comerien alafu bizz mana akaweka vinanda ,ingekuwa bonge la nyimbo.Hata ile ya Maua na Ben pol nayo upande wa beat si kivile japokuwa nyimbo ni nzuri.Nilichogundua maproducer wengiwa tz wana lack of creativity.
Huyo dogo aliyemshirikisha ni mtoto wa Marehemu Banza Stone anaitwa Hanstone.nyimbo kali sana sema miondoko ni ile ya kina kwangwaru ndomana umeona hance tone kaimba kama mond
Pili kumuiga mondi kwa msanii yoyote wa tanzania iwe kwaya hata ngoma ni jambo la kawaida sababu Mond ndo skeleton ya mziki wa Tanzania.
sasa muda wote alikwepo wapi mbona anaonekana ana uzoefu wa hali ya juu.Huyo dogo aliyemshirikisha ni mtoto wa Marehemu Banza Stone anaitwa Hanstone.
Sijajua pengine alikuwa shule maana anaonekana bado mtoto mdogosasa muda wote alikwepo wapi mbona anaonekana ana uzoefu wa hali ya juu.
Kakopi kwangaru kapest INimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimaNimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimasomaso huko duniani.
Good work kwa kweli
somaso huko duniani.Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa mkakopi kwangaru kapest kwnye iokote mi kaniudh pale aliposema akimuona anapta hajakuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimasomaso huko duniani.Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimasomaso huko duniani.
Good work kwa kweli
Good work kwa kweli
Good work kwa kweli
Hii beat ina "vikorombwezo" Vya kwangwaru kabisa.nyimbo kali sana sema miondoko ni ile ya kina kwangwaru ndomana umeona hance tone kaimba kama mond
Pili kumuiga mondi kwa msanii yoyote wa tanzania iwe kwaya hata ngoma ni jambo la kawaida sababu Mond ndo skeleton ya mziki wa Tanzania.
Kakopi kwangaru kapest I
Naunga "mkonyo Hoga"Naunga mkono hoja
Kiukweli huo mstari haukupaswa kuwemo kwenye wimbo.Hiyo Nyimbo inaboa pale anaposema anasikia Haja!!!! sijui Haja kubwa? basi ujinga ujinga mtupu anaimba
Maproducer weng tz sio creativity ona anakoelekea laiza iv ss anazingua naon kina harmonz washashtuka wanaend s2kizzy pia touch nae vinanda vyake vinafanana kila nyimboHii nyimbo nzuri,ila upande wa production beat yake sio nzuri kivile.Nyimbo kama hii ingempata Mika mwamba au akina Said comerien alafu bizz man akaweka vinanda ,ingekuwa bonge la nyimbo.Hata ile ya Maua na Ben pol nayo upande wa beat si kivile japokuwa nyimbo ni nzuri.Nilichogundua maproducer wengiwa tz wana lack of creativity.