Maua sama wimbo "iokote" ni mzuri ila...

Maua sama wimbo "iokote" ni mzuri ila...

Ma
Maproducer weng tz sio creativity ona anakoelekea laiza iv ss anazingua naon kina harmonz washashtuka wanaend s2kizzy pia touch nae vinanda vyake vinafanana kila nyimbo
Ni nini hiki we binti?!
 
Huo wimbo utafanya vizuri, dalili nimeshaziona
 
kaimba kwa makelele na biti la makelele (wenyewe wanaita biti la kuchezeka).
 
Kuna sehemu ameimba tusi bana,au labda masikio yangu yameanza wenge bcbg.

Kwa kitomb! nikogeeee.....
 
guys,dada aliposema akimuona anabanwa haja..hajamaanisha haja ya kujisaidia bali haja ya kufanya tendo la kungonoka.

Wakati mwengine mjifunze kutafsiri neno/lugha kulingana na muktadha linapotumika.
 
Kajitahidi sana.japo mambo mengi kaiga.ila hongera yake.tusimvunje moyo.
 
Kulikuwa na haja gani ya kuweka mavi kwenye wimbo? Lakini ngoma kali dogo kanogesha.
 
Itoshe tu kusema wimbo ni mzuri full stop, kuhusu kucopy sijui kwa mond au kwangwaru nadhani sio issue sana. Kwa maana hakuna jipya chini ya jua.
 
Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimasomaso huko duniani.
Good work kwa kweli
Hamna kitu wimbo wenyewe Ni sample ya KWANGWARU Kila kitu kyanzi uimbaji,beat,dance &e.t.c
 
Back
Top Bottom