Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Ni nini hiki we binti?!Ma
Maproducer weng tz sio creativity ona anakoelekea laiza iv ss anazingua naon kina harmonz washashtuka wanaend s2kizzy pia touch nae vinanda vyake vinafanana kila nyimbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaniudh aliposema akimwona anapata haja// sijui ni ya kujamba??
Anamaanisha nyege[emoji3]Hiyo Nyimbo inaboa pale anaposema anasikia Haja!!!! sijui Haja kubwa? basi ujinga ujinga mtupu anaimba
Wimbo mzuri ila hapo tu ndio kazinguaKaniudh aliposema akimwona anapata haja// sijui ni ya kujamba??
Ha ha mi hapo tu huwa pananichefua..Kaniudh aliposema akimwona anapata haja// sijui ni ya kujamba??
Kuna sehemu ameimba tusi bana,au labda masikio yangu yameanza wenge bcbg.
Kwa kitomb! nikogeeee.....
Pale anasema, "Kwa kichomi nikandeee"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Si mtoto wa kuzaliwa na Ramadhan Masanja ijapokuwa anamuita baba. Kama sii mkubwa basi ni mdogo.Huyo dogo aliyemshirikisha ni mtoto wa Marehemu Banza Stone anaitwa Hanstone.
Neno haja Halina maana ya kinyesi au mkojoKulikuwa na haja gani ya kuweka mavi kwenye wimbo? Lakini ngoma kali dogo kanogesha.
Hamna kitu wimbo wenyewe Ni sample ya KWANGWARU Kila kitu kyanzi uimbaji,beat,dance &e.t.cNimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone anamuiga Diamond Platnumz, yupo vizuri akibadilika kidogo atatutoa kimasomaso huko duniani.
Good work kwa kweli