Maua sama wimbo "iokote" ni mzuri ila...

Sio kwamba anawaiga Nandy na Ruby,.. Shida ni kuwa wote watatu wanaandikiwa nyimbo na THT,.. lazima wasound the same.
 
Kwakweli huyo Binti nimemzimia ingawa ana sura ngumu kama yangu. Mwenye no yake Please niwe nahariri nyimbo zake bureee. Aache na mambo ya kubanwa haja badala ya nyenge kuna Tafsida yake hapo Murua kabisa. Huu wimbo naupenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…