Mauaji sua!!!

Mauaji sua!!!

Status
Not open for further replies.
daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii

Duhhh mkuu...hongera sana asee!! Acha tujiandae na freedom square pale mazimbu!!!
 
Sio kilimo tu...hata education..computer science(informatics) utalii na mengine meng!! Unakaribishwa kama unavigezo!!

usidharau watu kijana!!mimi nina vigezo mpaka vigezo vyenyewe vinaniogopa! na niliposoma mimi wewe huwez kusoma! upload vyeti vyako vyote kuanzia 4m 4 up to degree na mm niupload vya kwangu hapa jf halaf tuone nan ana vgezo!?? teh teh:tape::tape::tape::tape:..
 
Ha ha ha,angekuwa UDSM angekuwa na supplementary 7 semister ya kwanza
He! Siku hizi kumbe raha, enzi zetu ukifeli zaidi ya masomo matatu hakuna kusapua ni disco moja kwa moja isingewezekana kuwa na sup 7 hata kidogo.
 
Pigeni msuli life ni tight sana hizo supp zenu na disco ni hukohuko tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom