daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii
Nan kakwambia maana matokeo ya Aea bado hayajatoka we upo kweny board?
Duhhh mkuu...hongera sana asee!! Acha tujiandae na freedom square pale mazimbu!!!
daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii
Sio kilimo tu...hata education..computer science(informatics) utalii na mengine meng!! Unakaribishwa kama unavigezo!!
daaaah yaani hapaaaa fulll burudaniii
hongera ze duduz me pia hawajanikamata
namtafuta Ningar
He! Siku hizi kumbe raha, enzi zetu ukifeli zaidi ya masomo matatu hakuna kusapua ni disco moja kwa moja isingewezekana kuwa na sup 7 hata kidogo.Ha ha ha,angekuwa UDSM angekuwa na supplementary 7 semister ya kwanza