Mauaji, utekaji na kesi za uhaini ndio kitisho cha kunyamzazisha watu kupinga ufisadi wa genge la CCM mtandao?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.

Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula.

Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu kesi za uhaoni ndio suluhu ya mafisadi wa CCM mtandao kuwaibia Watanganyika?
 
Screenshot_20260520-120305~2.png
 
nadhani porojo nonsense hazina maana kabisa nowadays :1Head:
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA HAKUNA ALIYE SALAMA
 
Watanganyika waamke
 
Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.

Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula.

Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu kesi za uhaoni ndio suluhu ya mafisadi wa CCM mtandao kuwaibia Watanganyika?
Mjane wa Marehemu shetani lenu la Chato uko busy na kuanzisha nyuzi za kujiliwaza. Pole kwa majonzi
 
Back
Top Bottom