Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.
Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula.
Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu kesi za uhaoni ndio suluhu ya mafisadi wa CCM mtandao kuwaibia Watanganyika?
nadhani porojo nonsense hazina maana kabisa nowadaysMpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.
Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka gerezani. Kijana Shadrack Chaula.
Suala la msingi ni kuwa kuteka watu, kuua watu na kubambika watu kesi za uhaoni ndio suluhu ya mafisadi wa CCM mtandao kuwaibia Watanganyika?
Watanganyika waamkeCCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA
AMKENI WATANGANYIKA HAKUNA ALIYE SALAMA
Mjane wa Marehemu shetani lenu la Chato uko busy na kuanzisha nyuzi za kujiliwaza. Pole kwa majonziMpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.