Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

serikali walifuta uganga

lakini ilipofikia kipindi cha uchaguzi wakawapa vibali
 
Kama mtakuwa pamoja na mim,matukio ya albino huongezeka sana mwaka mmoja kabla au miezi kabla ya uchaguzi?,na kama haitoshi ni wakati ambao huwa matukio haya huskika sana kuliko wakati mwingne wwote,nachelea kusema kuna uhusiano na imani za kishirikina kwani liko bayana lakini kwann wakati kama huu zaidi( na hii mdtrs mtaifuta? Jamani mmenizidia?)
 
Chanzo ni kwamba watanzania wengi wameamin imani za kishirikina sana na ndo chanzo cha tatizo hili.
 
viongozi na wanasiasa wengi wao washirikina wakubwa na wafanya biashara nao ndiyo usiseme na washirikina ......walaaniwe wote tu
 
serekali yetu sijui niseme inahusika ama inalea vitendo hivi
 
Na juzi juzi walitaka kuifuta kambi ya walemavi wa ngozi hapa dar,ili warudi tena kitaa wawapate kirahsi,wasje kuwa wakubwa haohao ndio wahuska wakuu!?
 
Point noted mkuu threesixteen,i saw a minor error thus to why neglecting,bt hpe the msg is delivered!
 
Na juzi juzi walitaka kuifuta kambi ya walemavi wa ngozi hapa dar,ili warudi tena kitaa wawapate kirahsi,wasje kuwa wakubwa haohao ndio wahuska wakuu!?

hebu muulize mh. Pinda nini kilimliza bungeni? Was he seeking sympathy or empathy from the victims? Au alikuwa anazuga siku iende? Hatua alizowaahidi zimetekelezwaje? Amefuatilia? Mbona hakuna feedback juu ya hilo? Kiukweli ana maswali mengi ya kuijibia serikali yake.
 
Wakuu hii nchi ina mambo! Kunavitu vingine ukivisikia huwezi kuamini ila vipo na vinafanyika.. Juzi nmepita maeneo fulan kimara, nkakuta gari nyingi zimepaki kwenye nyumba moja, nkauliza wenyeji kunamsiba? Wakasema hapana subr mida ya saa5 uck wakati tunakusindikiza utajua

Looooo! Salareeeee! Nakuta midume yaogeshwa uchi wa mnyama njian tena na mwanamke, aseee ndo hapo nkajua kuwa TZ n zaidi uijuavyo, usione watu wanatembea barabaran ukiona yanayofanyika kwao unaweza zimia!!
 
And no serious measures are taken toward the problem... sana kwakweli
 
Halafu tukisema wagalatia Wakiandika hawashirikishi bongo zao ndogo mnasema sisi wabaya.
Sasa we mnywa kinyesi (kichuri) inawezekana ukapata Dhehebu BILA DINI?We ndo mataputapu kweli.
Mkuu mapovu mengi sana: Jamii ya wagalatia haipo tena duniani labda kama wagusia timu fulani kule barazili.We huoni boriti katika jicho lako yanini tazama kibanzi kwa jicho ya mwingine: amakweli nyani haoni kundule :uji wa ngama na wasuna wala wewe. we kweli shageuka vampaya tayari!

Nyinyi ndo wafuata dini ndio mwateseka kwakuwa nyinyi mumeletewa dini na mukaambiwa dini yenu inatakiwa ishinde DINI ZOTE DUNIANI, Mukaagizwa mupambane kushambulia dini zingine mpaka kila mtu ajisalimishe kwenye DINI yenu ya Allah. Mukaambiwa Allah kaumba nyama ya kitimoto ni HARAMU kwenu hivyo mukiwa na nja mle nusu tu:ili musishibe. Na kwamba kitabu chenu kimeshushwa moja kwa moja kutoka peponi hivyo hakina SHAKA hata kidogo na kimekamilika kwa kila kitu, na mukapewa na ratiba ya kuswalia kwa siku waswali MARA 5 mukaambiwa wakina FaizaFoxy wanamapungufu na ikitokea unaswali akikatiza FaizaFoxy ama mbwa mbele yako wakti unaswali hiyo swala yako ni batili wapaswa rudia tena, na MKALAZIMISHWA* kufunga ambapo mchana hamuli mwakula Usiku hadi usiku wa manane kwa siku Salasini. Na mutalipizia siku sita wale mlokatiza mfungo katika zile 30.
Dini Dini Dini.. Ni Shidaaaaaaaaa
 
Mauaji ya albino ni kwa imani za kishirikina, nimekua nikiskia tu sina udhibitisho lkn kwamba viongozi wetu ni wengi wao na si wote ni washirikina wa kutupwa, swali ni je, haiwezekani wao ndio wanaowaua albino kwa imani za kishirikina? Ni sawli tu nimejiuliza nikakosa majibu kama kuna mwenye jibu.
 
Kuna kipindi kinaendelea sasa kinajadiri mauaji ya Albino yanayoendelea Tanzania. Wanajadiri kupitia kipindi kinachoitwa The Stream, ni kipindi ambacho watu kutoka maeneo mbalimbali kupitia Skype ujadiri kwa pamoja. Kuna Albino kadhaa wa Tanzania wameunganishwa.

Mhusika mmoja wapo anasema Mwaka 2009 Pinda alilia na akapiga marufuku uganga wa Tunguri, lakini baada ya Waganga wa kienyeji kuwatishia wanasiasa kuwa kama wataendelea kuwafungia basi hawatatoa huduma kwao katika uchaguzi unaofuata (2010). Baada ya mkwara huo, Pinda na serikali yake wakawaruhusu tena wapiga tunguri, na mauaji yakaendelea kama kawaida kwenye uchaguzi. Pia jamaa wanasema kuwa asilimia 60 ya Watanzania uenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta huduma.

Al Jazeera inatazamwa na dunia nzima, hii ni aibu. Inaonesha, wakati wenzetu wanatumia akili nyingi kuvumbua mashini za kuchimba madini kirahisi na kupata madini mengi, sisi tunakimbiza Albino tukidhani wao ndio wanaoleta kwa wingi.
 
Mkuu muda ulipopost mimi nlikua naangalia Aljazeera habari, sikuona hiyo habari. Lakini nlipoingia online nikakutana na hii habari inayo husiana na Tanzania

 
Last edited by a moderator:
CCM inaposhindwa kulinda raia wake, nani atalinda??

Kila siku ujambazi wa kutumia silaha unaenea tanzania.
 
Mkuu muda ulipopost mimi nlikua naangalia Aljazeera habari, sikuona hiyo habari. Lakini nlipoingia online nikakutana na hii habari kutoka. Tanzania

Hii habari ngumu yaani watawala wameshindwa kuchukua hatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…