Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Waliopo gerezani kwa kua albino watawataja waganga na watu wanaowatuma halafu wanyongwe
 
Waliopo gerezani kwa kua albino watawataja waganga na watu wanaowatuma halafu wanyongwe

Na ndiyo maana hawashtakiwi na kwa sasa hata mahakamani hawafikishwi. Nadhani wanaogopa watuhumiwa watataja chain iliyopo na watu wataumbuka. Uongozi wa hii nchi sijui una nini Mungu wangu.....!!!
 
Nadhani Albino sasa umefika wakati wa kujengewa makazi ndani ya kambi za jwtz

matatizo yanaanzia kwa hawa wachawi sijui kalumanzila mbwa hawa ndo wanatuma watu kufanya mauwaji kill them kama kuku ikibainika umetuma watu walete viganja hakuna habari za kuzungusha unauwawa na wewe
 
Waliopo gerezani kwa kua albino watawataja waganga na watu wanaowatuma halafu wanyongwe

Yani hadi roho imenichafuka kwa upuuzi hawa waganga na hao wanaotumwa wanajuana watajane wapewe adhabu kali tena hukohuko wanakofanyia madudu yao na wengine waone iww fundisho
 
Mkuu kuhusu suala la sheria mkononi hapo hakuna ruhsa ya serikali ,naamini kwa asilmia 1000 hakuna mtu atakaye mkamata muuaji wa watoto wetu albino halafu eti ampeleke kwenye vyombo vya sheria no way ni moto tu!
Pili nafikiri itabidi sasa ufanye utaalam wa kuwa tag na micro transimitor wale wote wenye ulemavu wa ngozi iwe kwa nguo meno ili punde tu akitekwa basi wa activate na kufuatilia wapi alipo. maana hali ni tete mno kwa ndugu zetu hawa.
 
Albino wote watolewe huko Kanda ya ziwa na k wengineo! Wajengewe sehemu yao maalum.
Kwa style hii ambayo wanafanyiwa wataisha, serikali imsshindwa Kuwa linda ma albino.
Bora Wajengewe sehemu yao mpya!
 
Hapo hakuna kusubiri ruhusa ya Serikali,ni kujichukulia sheria mikononi tu.
 
Albino wote watolewe huko Kanda ya ziwa na k wengineo! Wajengewe sehemu yao maalum.
Kwa style hii ambayo wanafanyiwa wataisha, serikali imsshindwa Kuwa linda ma albino.
Bora Wajengewe sehemu yao mpya!
kama panya road alidhibitiwa kwanini muua albino ameshindikana??
 
Mleta thread hapa hatuhitaji ruhusa tukikamata ni kuuwa tu......huyu ni kupigwa zaidi mwizi.....mi inaniuma sana aisee,huo ni ujinga sana kuwafanya binadamu wenzetu kama wanyama..
 
Mleta thread hapa hatuhitaji ruhusa tukikamata ni kuuwa tu......huyu ni kupigwa zaidi mwizi.....mi inaniuma sana aisee,huo ni ujinga sana kuwafanya binadamu wenzetu kama wanyama..
wazo zuri sana maskini Yule Mtoto ameniliza
 
Mkuu hili kama linawezekana tuanze sasa! Sungusungu irudi aisee! Hawa mbona watawataja hao wanaowatuma! Serikali pumbavu ya maccm imeshindwa kuwalinda hawa watoto, kwa ufupi serikali ya Kikwe.te ipo pale kutokana na viungo vya Albino wanasiasa ndo wanaosababisha haya! Tulikuwa tunasikia faru mweupe amewekwa kwenye orodha ya endangered spp sasa na albino nao jamani wawe endangered spp? Hii haikubaliki!
 
ndugu wana jamii forum, kwanza kabisa poleni na picha ya leo iliyomuonyesha mtoto akiwa amekatwa kinyama kisha kuzikwa!
Ndugu zangu leo nifadhaishwa sana na picha ile kiasi cha kutopata usingizi vizuri. Ni ukatili ukatili wa hali ya juu.
Naomba serikali kutumia dna kuwatia nguvuni washukiwa hawa! Pili ni maono yangu kuwa serikali imeshindwa kudhibiti mauaji haya naomba wananchi waruhusiwe kuchukua sheria mkononi kumaliza aibu hii.
tutaishia kuua
waliotumwa
wahusika wataendelea kubaki
watatuma wengine......
Kuelekea uchaguzi
albino wako hatarini......
 
mbona watanzania tunapenda kulalamika sana?kwa nini hatupendi kufanya maamuzi magumu mpaka tusubiri watu wengine ndio waje wafanye maamuzi kwa niaba yetu wakati tunaelewa kabisa hao tuliowakabidhi ridha ya kutuongoza hawana nia ya kumaliza tatizo hili (na matatizo mengine mengi)?
wahusika naamini kabisa wanajulikana katika jumuiya zao,sasa itakuwa vyema tukiwaweka hadharani ili wenye nafasi ya kuwachukulia hatua wafanye hivyo.tukiendelea kuwaachia vyombo vya dola tujue kabisa kuwa tutakuwa tumeliwa.kwa nini tupige kelele tu wakati wanajulikana?kuna mzee mmoja wakati wa sakata la escrow aliwahi kusema kama angekuwa anaweza kumuwekea sumu Chenge au kuharibu mfumo wa gari la Chenge,angefanya hivyo siku nyingi.hawa watu hawaishi peke yao kwenye visiwa,kwa nini tusiwashughulikie kama kweli tuna nia ya dhati ya kumaliza haya matatizo?
 
Back
Top Bottom