Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Nimeamini sasa kuwa tuna serikali dhaifu kweli kweli.....
 
Huyu naye aende zake huko.

Miaka yote hiyo hao ndugu zetu wanauwawa alikuwa wapi kuwachukulia hizo hatua kali hao wauaji?
 
Bad news to CCM leaders!!!. Hapo baadhi ya viongozi wa Magamba ambao walimtuma huyo jamaa washaanza kuingia woga na wanajua nafasi zao za Ubunge Mwaka huu zipo shakani kama wakikosa walichomtuma huyo Wakala.

Pumbafu kabisa!!!.... Na wapigwe tu, ndio wapigwe maana tumechoshwa na mauaji ya ndugu zetu albino
 
Safi sana,anayesema haki za binadamu asibiri mtoto wake auliwe halafu aipate hiyo haki
 
Rais, Waziri mkuu wameshindwa ndio aje kuweza huyu kiongozi wa KUFUNGUA SEMINA NA MAKONGAMANO na ZIARA ZA UFUNGUZI WA MAJENGO hii nchi tumezidi ujinga yaani mambo mazito tunayafanyia mzaha na yale ya kipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
 
Na yeye mwenyewe ni mwanasiasa so alikatae kwanza lile joka linalodemand damu ili liendelee kuwaweka madarakani
 
Huyu naye kaamkia wapi?
Viongozi wetu kwa usanii hawajambo.
Si heri ya Pinda aliyemwaga machozi na huo ukawa ndio mwisho!


Pinda.jpg
 
Mhe. Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa tamko kali la kulaani mauaji ya Albino na amesema atawachukulia hatua kali sana hao Wauaji wa ALBINO.

SOURCE: ITV Habari saa 2 usiku, Tarehe 21 Februari, 2015

Mzee wa kukata utepe hawezi lolote
 
Safi sana,anayesema haki za binadamu asibiri mtoto wake auliwe halafu aipate hiyo haki

Mi nawashangaa hawa wanaosema haki za binadam Hata albino si ni binadam pia sh.enzi kabisa haki my foots and boots

Kwahiyo wao wanahaki lakini albino hawana sio kisaaa ngozi zao
 
Tutaendelea kupiga kelele mpaka wakereke! Mbona akiuawa mtu wao watuhumiwa hukamatwa fasta?
 
Tunashukuru kuwa uongozi umeliona hili kuwa ni tatizo la kitaifa, hakika tunaamini hatua stahiki zitachukuliwa kwa wanaofanya haya matendo maovu.
 
da safi sana...roho yangu imesuhuzika..big up wanakijiji..mambo mengine sio mpaka kusubiria serikali.
 
Mhe. Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa tamko kali la kulaani mauaji ya Albino na amesema atawachukulia hatua kali sana hao Wauaji wa ALBINO.

SOURCE: ITV Habari saa 2 usiku, Tarehe 21 Februari, 2015
Huyo 'ceremonial post' ameamua tu kuhit headlines za media.

Hivi atawezaje kushughulikia mauaji ya albino, wakati UN tayari ishatoa ripoti yake kuwa, mauaji hayo yanahusishwa na imani za kishirikina za wanasiasa, kwa kuwa kila ifikapo mwaka wa uchaguzi hapa Tz, rate ya kuuawa albino huwa inatisha?

Wakirefer miaka ya uchaguzi ya 2000 na 2005, ambayo nayo ndugu zetu wa albino waliteketea kwa kiwango cha kutisha.

Sasa kuna chama gani kitakuwa kinatumia 'makafara' hayo ya albino, kama siyo chama chake kilichomtunuku 'zana' za mikasi kwa ajili ya kufungulia warsha na makongamano?

Sasa ujasiri huo wa kumalizana wenyewe kwa wenyewe hao magamba wataupata wapi?
 
Amekiri mwenyewe na we ni wa......

Mimi siungi mkono mauaji ya albino ila utawala wa sheria uzingatiwe.mfano angekamatwa apelekwe kituoni,upelelezi ufanyike akikutwa na hatia afungwe.ila kuua ua si nzuri nimeshuhudia wengi wameuwawa kwa makosa.anaweza kukiri kutokana na kichapo.maana watu wengi wanakiri polisi baada ya kipigo ila kiuhalisia hawajafanya.
 
Back
Top Bottom