KWAHIYO MAMA UMEKOSA NINI KULA MCHONGO KUMFANYIA KISASI ALIYEFANYA MAUAJI YA MWANAO mtendeji ni mtu mdogo sana na Hana uelewa wowote katika ulinzi kamwe usikubali kufanyiwa hiviUkatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini.
mauaji ya enock
Kijana hakuiba ile kompyuta na imepatikana mahali pengine na waliowauzia sio huyo marehemuIla wezi wanakera sana, hasa ukimpeleka mahakamani akahukumiwa kifungo cha miezi 6 halafu akarudi mtaani na kuanza kutamba.
Wezi wauawe kama Enock, ili taifa lipone . Nchi za Kiarabu wamefanikiwa kukomesha wizi kwa njia ya kuwaua wezi.
Laana ya milele iwafunike hao viongozi wauaji na wote wanaolea utekaji na mauaji nchi hii. Laana hiyo ichuruzike hadi kuwafikia vitukuu wao.Kijana hakuiba ile kompyuta na imepatikana mahali pengine na waliowauzia sio huyo marehemu
Punguza bangi unajua kilichotokea kwa huyo marehemu au unabwabwaja tu.Ila wezi wanakera sana, hasa ukimpeleka mahakamani akahukumiwa kifungo cha miezi 6 halafu akarudi mtaani na kuanza kutamba.
Wezi wauawe kama Enock, ili taifa lipone . Nchi za Kiarabu wamefanikiwa kukomesha wizi kwa njia ya kuwaua wezi.
Kama aliiba komoyuta ya watu, chochote kilichomtokea huyo mwizi anastahili .Punguza bangi unajua kilichotokea kwa huyo marehemu au unabwabwaja tu.