Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukuwa na haja ya ku-quote stori yote, unatutesa tunaotumia simu.huwa naisubirije ijumaaa!
Niliishi na mama wa kambo........jamani jamani jamani wakina mama......hebu punguzeni ukali...huwa nikiona visa kama hivi machozi hunilenga lenga,kiukweli malezi ya utotoni yana athiri sana.Kwangu mimi,ule uzito ambao watu huchukulia mama zao,mie sina...yaani kukaa mwaka mmoja bila kumuona au hata kumsalimia,hainipi shida.....yaan..mpk huwa najiona kama tofauti...lakini yoote haya husababishwa na malezi.......THANKS MTAMBUZI....
For sure, I miss my mum
Good for you....!!!!Sijawahi kupata feeling hii hata siku moja......