Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 151
- 232
KweliPapuchi ni chanzo cha vifo vingi
Alikuwa kashampatia talaka..............Mkitaka yeshe acheni kuwagongea watu wake zao!haya mambo mtu anajifanya mjanja sana mbele ya mke wa mtu akiuawa ndugu zake wasiwasumbue police Kabisa maana ni uzembe wao.