Tetesi: Mauaji ya kikatili yatakwisha lini?

Tetesi: Mauaji ya kikatili yatakwisha lini?

Kyakashombo

Senior Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
151
Reaction score
232
Jamaa mmoja mkazi wa Mwanza wilaya ya Kwimba, ameuwawa kwa kukatwa sehemu zake za siri baada ya kufamaniwa na mke wa mtu! Ila inasemekana mwamke huyo alikuwa amekwisha achika kwa mumuwe kwa taraka.
 
Hlf Waweza Kuta Siku Zote Huyo Demu Alikuwa Anambania Mbania Kumtunuku Jamaa Papuchi Ila Mwisho Wa Siku Kakubali Halaf Imepelekea Msiba Kwa Jamaa Duh Kwa Hali Hii Watatumaliza
 
..............Mkitaka yeshe acheni kuwagongea watu wake zao!haya mambo mtu anajifanya mjanja sana mbele ya mke wa mtu akiuawa ndugu zake wasiwasumbue police Kabisa maana ni uzembe wao.
 
..............Mkitaka yeshe acheni kuwagongea watu wake zao!haya mambo mtu anajifanya mjanja sana mbele ya mke wa mtu akiuawa ndugu zake wasiwasumbue police Kabisa maana ni uzembe wao.
Alikuwa kashampatia talaka
 
Back
Top Bottom