joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya sasa imekua ni sehemu hatari zaidi hapa duniani kuliko sehemu yoyote ile hapa duniani, mauaji ni kila siku muda na saa yoyote ile. Inasemekana kwamba unaweza kukodisha wauaji ili kumuua mbaya wako kwa kiwango kidogo sana cha pesa, chini ya $200.
R.I.P. kwa wote mliopotezewa maisha yenu.