Mauaji ya kinyama Kenya ni kila siku na kila pembe ya nchi, serikali yazidiwa nguvu na wauwaji

Wewe umesahau mnakulaa Albino na kuwawinda kama Wanyama wa porini ama you reason like a village cockrel???? And by the way are you circumcised because all your posts point to a whistle
Mbona unatema povu bwana mdogo
 
Mtu mzuri ni yule anayekueleza juu ya mapungufu yako,--- A good person is the one who tells you about your shortcomings, usikasirike.
A pia anakupongeza unapofanya vizuri...mwenye kuleta mara hutawahimuona akipongeza Kenya kwa mazuri.
 
Watu huwa hatuelewi kwasababu siku zote tumezoea kusifiwa tu, yaani tunapenda kusifiwa kuliko kukosolewa, kwa taarifa yako kukosolewa na kuonyeshwa makosa na mapungufu yako ndiyo njia bora ya mtu kujitambua na kujirekebisha ili usonge mbele, kifupi ni kwamba mtu hupata mafanikio na maendeleo zaidi pale anapokosolewa kuliko pale anaposifiwa. Criticism is a way forward to success and not praises which, mainly, make one feel proud leading to arrogance.
 
Ukinyooshea kidole mwenzako, kumbuka tatu zimekuangalia wewe.
 
Hapa siyo suala la kunyoosheana vidole ( it is not a matter of finger pointing to some body), ni suala la kuambizana matatizo yanayotukabili ili kwa kuya solve tusonge mbele..
Matatizo yenu Ni kupika takwimu kuwahadaa wananchi. Suluhisheni hayo na msonge mbele sisis tukisuluhisha yetu ya njaa, ufisadi,ukabila na Umasikini.
 
Back
Top Bottom