joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninakumbuka baada ya "Forbes" kuitaja Kenya katika nafasi ya 7 duniani kama nchi hatari zaidi, nilisema kuna uwezekano mwaka ujao, Kenya ikapanda hadi namba 2. Kwa kasi hii ya mauaji mwaka huu, kuna mtu atapinga kama Kenya ikitajwa katika nafasi tatu za juu za nchi hatari zaidi hapa duniani?