Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kenya ijufunze Tanzania kufanya mauaji ya Albino???Woman, daughter murdered in South B
Police say bodies bore marks of strangulation.mobile.nation.co.ke
Wakati mwili wa bwenyenye wa kiholanzi ukizikwa, wakenya wameendelea na unyama wao wa kuchinjana na kuuana kama wanyama wa porini.
Unyama uliotokea Jana huko Nairobi wa mauaji ya wanawake wawili, mama mwenye miaka (71) na mtoto (47) ndani ya vyumba vyao, umezidi kuishitua dunia kiasi cha hata wakenya wenyewe kuchoshwa na visa vya mauaji ya kinyama yanayozidi kushamiri siku hadi siku.
Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, lazima kupunguza pengo kati ya masikini na matajiri, serikali lazima ianze kuwajali na kuwasikiliza watu wa hali ya chini, vinginevyo, Kenya itapanda kutoka namba 7 ya sasa hivi hadi kufikia namba 2 mwaka ni katika nchi hatari zaidi duniani. R.I.P.
Hii habari ingependeza kama ungeiweka bila kuhushisha Tanzania.