Mauaji ya kinyama yaendelea kutikisa Kenya, Kenya si nchi salama kabisa.

Mauaji ya kinyama yaendelea kutikisa Kenya, Kenya si nchi salama kabisa.

Wakati mwili wa bwenyenye wa kiholanzi ukizikwa, wakenya wameendelea na unyama wao wa kuchinjana na kuuana kama wanyama wa porini.

Unyama uliotokea Jana huko Nairobi wa mauaji ya wanawake wawili, mama mwenye miaka (71) na mtoto (47) ndani ya vyumba vyao, umezidi kuishitua dunia kiasi cha hata wakenya wenyewe kuchoshwa na visa vya mauaji ya kinyama yanayozidi kushamiri siku hadi siku.

Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, lazima kupunguza pengo kati ya masikini na matajiri, serikali lazima ianze kuwajali na kuwasikiliza watu wa hali ya chini, vinginevyo, Kenya itapanda kutoka namba 7 ya sasa hivi hadi kufikia namba 2 mwaka ni katika nchi hatari zaidi duniani. R.I.P.
Kenya ijufunze Tanzania kufanya mauaji ya Albino???

Hii habari ingependeza kama ungeiweka bila kuhushisha Tanzania.
 
Nchi salama wakati wasiojulikana wanawateka watu [emoji23] ebu peleka kauli hii katika yale majukwaa yenu uone jinsi watakupa za usoni!
Mimi situmii majukwaa, ninatumia ripoti za "Forbes, HRW na WPI", wote hawa wanasema uongoz, au wanaichukia Kenya?. Hahahaha, Hahahaha. Get out of denial and face reality.
 
Kenya ijufunze Tanzania kufanya mauaji ya Albino???

Hii habari ingependeza kama ungeiweka bila kuhushisha Tanzania.
Tanzania inashuka namba 54 duniani kwa Amani, wakati Kenya inashika namba 123, hii ni kwamujibu ya " World Peace Index". Je bado unahisi Kenya haipaswi kujifunza toka Tanzania ili japo ipandishe " rank" yake japo wafike namba 100?
 
Hao wanaotekwa ni minority ya walengwa wa kisiasa.
Ninyi kenge blue mnauana hovyo.
Mara mkikuyu kamuua Cohen.
Mara mbaba kamkata mapanga mkewe.
Mara mbaba kamtafuna mkewe pua na sikio.
Yani mna ukatili uliopitiliza hauelezeki.
Nchi salama wakati wasiojulikana wanawateka watu [emoji23] ebu peleka kauli hii katika yale majukwaa yenu uone jinsi watakupa za usoni!
 
Umesikia ripoti yeyote mwaka huu au hata mwaka jana kufa kwa albino??
Msijifariji kwa past stories.
Yani Tz tukio linafanyika moja moja lakini Kenya ni frequently killings mbaya sana.
Kenya ijufunze Tanzania kufanya mauaji ya Albino???

Hii habari ingependeza kama ungeiweka bila kuhushisha Tanzania.
 
Mimi situmii majukwaa, ninatumia ripoti za "Forbes, HRW na WPI", wote hawa wanasema uongoz, au wanaichukia Kenya?. Hahahaha, Hahahaha. Get out of denial and face reality.

Ikiwa mwanajeshi anauliwa, wewe upo salama?
 
Back
Top Bottom