Mauaji ya kinyama yaendelea kutikisa Kenya, Kenya si nchi salama kabisa.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati mwili wa bwenyenye wa kiholanzi ukizikwa, wakenya wameendelea na unyama wao wa kuchinjana na kuuana kama wanyama wa porini.

Unyama uliotokea Jana huko Nairobi wa mauaji ya wanawake wawili, mama mwenye miaka (71) na mtoto (47) ndani ya vyumba vyao, umezidi kuishitua dunia kiasi cha hata wakenya wenyewe kuchoshwa na visa vya mauaji ya kinyama yanayozidi kushamiri siku hadi siku.

Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, lazima kupunguza pengo kati ya masikini na matajiri, serikali lazima ianze kuwajali na kuwasikiliza watu wa hali ya chini, vinginevyo, Kenya itapanda kutoka namba 7 ya sasa hivi hadi kufikia namba 2 mwaka ni katika nchi hatari zaidi duniani. R.I.P.
 
Watasema kazi yao ni kutengeneza mabilionea. Hao wanaokufa ni collateral damage!!

Pia njaa ni collateral damage. Bora wapiga dili watengeneze pesa kupitia importation!!
 
Albino cutters in their righteous anger.
 
Mkuu hili sio jambo geni nchini Kenya, wao ndio waasisi wa mauaji ya kisiasa toka enzi za mzee jomo Kenyatta, kupigwa risasi barabarani, na kuuana Kama kuku ni jambo la kawaida sana na watu wanaendelea na shughuli zao kama nothing happened
 
Umeandaika uzi wa maana sana ila kwa sababu wana akili fupi watakuja kukushambulia badala ya kujadili vitu vya maana [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hii kweli failed state.
 
Hawa jamaa ni wanafiki sana...na wakati kwao mili kukutwa ndani ya viroba ndo habari ya mjini...

Watz wanafiki! Huu naye ni Mkenya pia?
Code:
Hzi pia watasema ni za kenya[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20190924-230353_Opera%20Mini%20beta.jpeg
Screenshot_20190924-230522_Opera%20Mini%20beta.jpeg
Screenshot_20190924-230551_Opera%20Mini%20beta.jpeg
 
Wakati mwili wa bwenyenye wa kiholanzi ukizikwa, wakenya wameendelea na unyama wao wa kuchinjana na kuuana kama wanyama wa porini.

Unyama uliotokea Jana huko Nairobi wa mauaji ya wanawake wawili, mama mwenye miaka (71) na mtoto (47) ndani ya vyumba vyao, umezidi kuishitua dunia kiasi cha hata wakenya wenyewe kuchoshwa na visa vya mauaji ya kinyama yanayozidi kushamiri siku hadi siku.

Kenya lazima ijifunze toka Tanzania, lazima kupunguza pengo kati ya masikini na matajiri, serikali lazima ianze kuwajali na kuwasikiliza watu wa hali ya chini, vinginevyo, Kenya itapanda kutoka namba 7 ya sasa hivi hadi kufikia namba 2 mwaka ni katika nchi hatari zaidi duniani. R.I.P.
Wewe Bwana Self Righteous nyani haoni kundule bwana , unyama ni ule wa kuua albinos huko Tz .

And no we don't have anything to learn from Tz nendeni mjirekebishe kwanza before you come here to pontificate and being sanctimonious .
HbztDih.png
 
[emoji87][emoji87][emoji87]
IMG_20190924_234809.jpeg
 
Habari za mauaji na uhalifu ni nyingi sana Tanzania na yanatokea kila siku kama hizi
Ila wengine wetu tunajua si hayo yaliyotuleta hapa kwenye great thinkers forum......wengi wenyu siku hizi mmejaa utoto wa ajabu hadi imebaki tu kuwatazama na kwenda zetu. Hii section imekua overrun na immature grownups
 
Attachments

  • IMG_20190924_233311_241.JPG
    IMG_20190924_233311_241.JPG
    69.4 KB · Views: 12
  • IMG_20190924_233246_821.JPG
    IMG_20190924_233246_821.JPG
    61.6 KB · Views: 12
  • IMG_20190924_231004_100.JPG
    IMG_20190924_231004_100.JPG
    70.8 KB · Views: 10
  • IMG_20190924_230929_956.JPG
    IMG_20190924_230929_956.JPG
    68.7 KB · Views: 12
Habari za mauaji na uhalifu ni nyingi sana Tanzania na yanatokea kila siku kama hizi
Ila wengine wetu tunajua si hayo yaliyotuleta hapa kwenye great thinkers forum......wengi wenyu siku hizi mmejaa utoto wa ajabu hadi imebaki tu kuwatazama na kwenda zetu. Hii section imekua overrun na immature grownups
Acheni denial, tofautisheni kati ya" Isolated cases" na mauaji ya kila wiki. Vipi Kenya iwekwe katika nchi hatari zaidi duniani zisizo na usalama, wakati Tanzania ni miongoni mwa nchi salama zaidi duniani?
 
Zeruzeru😂😂😂
 
Nchi salama wakati wasiojulikana wanawateka watu 😂 ebu peleka kauli hii katika yale majukwaa yenu uone jinsi watakupa za usoni!
 
Back
Top Bottom