Mauaji ya mwanamke wa Isdal

Mauaji ya mwanamke wa Isdal

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Hii ni makala inayoongelea kisa kimoja kitamu sana na cha kusikitisha sana kilichowahi kutokea nchini NORWAY miaka ya 1970’s katika jiji la BERGEN ambalo limezungukwa milima na kuvutia watalii wanaopenda kupanda milima.

Sasa katika jiji la BERGEN eneo la ISDAL ndiko kisa hiki kinaanzia baada ya mwili wa mwanamke huyu kukutwa katika bonde la ISDALEN na mikanganyiko kuanzia hapo ambayo itawaumiza vibaya vichwa vya wapelelezi.

Kifo cha mwanamke huyu ndo kesi ngumu na yenye utata mwingi katika historia ya taifa la NORWAY iliwasumbua sana wapelelezi na ndo maana hata kwenye madarasa ya upelelezi wanatumia kesi hii kama kielelezo cha kufundishia.

Wapelelezi wanavyoanza kufuatilia hatua kwa hatua wanakutana na vizingiti vizito ndani ya kesi hii hasa pale walipokutana na ujumbe mmoja ambao unaonesha maneno na namba [codes] ambazo wanatakiwa kuzifumbua ili kupata mwanga wa kesi.

Hapo kwenye codes ndo patamu sababu ilikuwa ni zaidi ya fumbo na kujua muuaji au wauaji wa mwanamke huyu sio wa sayari hii na wanakuja kujua pia huyo mwanamke naye ana historia yake ambayo inazidisha sintofahamu na mikanganyiko mingi sana.

Ndani ya makala tutamuangalia huyo mwanamke ni nani, aliuwawaje, codes zilizoachwa za siri wapelelezi wanavyohaha kuzifumbua, muuaji au wauaji ni wakina nani, sababu za kumuua, sintofahamu na mikanganyiko iliyoko ndani ya kisa hiki kitamu sana n.k
 
Kha! Kusubiri tena mambo ya viporo hayo
 
Mbona huanzii??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tulishaisoma kupitia google. Jaman watu mbona hamleti kitu kipya?
 
Back
Top Bottom