FYA PANDOMO Member Joined Jun 8, 2010 Posts 27 Reaction score 4 Aug 31, 2012 #1 Jamani wadau kuna huyu mwanamke aliuawa kinyama kwa kuchomwa moto mwanzoni mwa mwezi huu,mbona hatujasikia polisi kumshikilia mtu hata mmoja?,au wanataka tuamini kuwa alijichoma moto?
Jamani wadau kuna huyu mwanamke aliuawa kinyama kwa kuchomwa moto mwanzoni mwa mwezi huu,mbona hatujasikia polisi kumshikilia mtu hata mmoja?,au wanataka tuamini kuwa alijichoma moto?
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,761 Aug 31, 2012 #2 PESA NI KILA KITU MKUU WANGU PESA INA MDOMO WAKUONGEA NA MIKONO YAKUFUNGA MIDOMO YA WENGINE BANA PESA NDIO KILA KITU WEE ACHA TU https://www.jamiiforums.com/habari-...epande-mke-wa-kigogo-wa-bot-ateketezwa-5.html
PESA NI KILA KITU MKUU WANGU PESA INA MDOMO WAKUONGEA NA MIKONO YAKUFUNGA MIDOMO YA WENGINE BANA PESA NDIO KILA KITU WEE ACHA TU https://www.jamiiforums.com/habari-...epande-mke-wa-kigogo-wa-bot-ateketezwa-5.html