FYA PANDOMO
Member
- Jun 8, 2010
- 27
- 4
Jamani wadau kuna huyu mwanamke aliuawa kinyama kwa kuchomwa moto mwanzoni mwa mwezi huu,mbona hatujasikia polisi kumshikilia mtu hata mmoja?,au wanataka tuamini kuwa alijichoma moto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.