Mauaji yaliyosababishwa na vurugu za uchaguzi Kenya

Qualcomm

Senior Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
177
Reaction score
138
Kufuatia uchaguzi nchini Kenya watu wameuawa na askari eneo la Madhare nje kidogo ya Jiji la Nairobi ambao ni wafuasi wa NASA . Matukio haya hayaonyeshwi na vyombo vya habari vya Kenya.








 

Attachments

  • IMG_8432.JPG
    68.1 KB · Views: 84
  • IMG_8435.JPG
    74.6 KB · Views: 168
Vyombo vya habari vionyeshe ili kuchochea machafuko?.polisi ibabidi wapambane sana na wanaoleta Fujo. Kura zimepigwa halafu unakataa matokeo.kwanini ukubali kuingia kwenye uchaguzi wakati unajua kuna kushinda na kushindwa.Kubali matokeo nchi isonge mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wana roho ngumu sana

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nimeandaa mahitaji yote tayari kwa diplomatic mediation huko Kenya , acha kwanza watwangane.

Uhuru kesha kunywa damu ya Mr. Msando - ICT wa IEBC sasa anataka kunywa za wakenya wote.

Uhuru Kenyatta is a thief while, a common knowledge is "Once a thief , always a thief"
 
Lowassa alitumia busara huyo nae anaesema ameibiwa atumie busara. Better shot one person and leave others peacefully.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…