Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Unaenda kufanya political meditation gani wakati umeshaonesha biasness?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanifahamu kama ni mimi.
Ila , naelewa principles zote na ethics za mediation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenda kufanya political meditation gani wakati umeshaonesha biasness?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuhukumu Odinga unamuita selfish dishonest wakati hajawahiSelfish and dishonest leaders like Odinga na NASA pia wao will turn Kenya into a blood fest.
One is one too many.
Hao jamaa ni tofauti kabisa na sisi.Wakenya wana roho ngumu sana
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
[emoji2] tutawaona 2020 wapinzani mtaibuka na swaga zipiKimenuka
Hayo Mambo hutokea nchi nyingi linapofika suala la uchaguzi Mara nyingi wapinzani hawaamini Kama wameshindwa kwa uhalali na matokeo yake usingizia wameibiwa kura odinga watulize hao wafuasi wako rais Kenya ameshatangazwa.
Wewe ni mjaluo bishaaa?Hakuna serikali inayokubali kuwa imeua watu.
Usijidanganye kwa kuisikiliza serikali na wakati, hadi sasa hivi polisi imeisha piga watu shaba/ bomba .
Uhuru Kenyatta ni thief. Once a thief always, a thief
Wewe ni mjaluo bishaaa?
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Uhuru ni kibanga. Alifunzwa hizo wizi wa chapa na dooo na dady yake.
So, sasa anaiba votes za Odinga.
Sio lazima uwe rais ndio ubinafsi na kutoaminika ujitokeze. Mengi aliyosema Odinga na vitendo vingi vyake yanaonyesha sana yeye sio mwaminifu na ana ubinafsi mkubwa zaidi.Unamuhukumu Odinga unamuita selfish dishonest wakati hajawahi
kuwa rais wa kenya ww vp?