Mauaji yaliyotokea awamu ya Rais Samia yatajibiwa na karma!

Mauaji yaliyotokea awamu ya Rais Samia yatajibiwa na karma!

Huyu Mama aliambiwa akifanya reform tu ndio itakuwa mwisho wa utawala wake. Hata ndani ya CCM walikuwa hawamtaki ndio maana akajipitisha kuwa mgombea na wapinzani wa kweli nje ya CCM akawazuia kugombea.
Nikikumbuka pale Bunda ameletwa mwenyekiti wa halmashauri mwanadada mbumbumbu asiyeweza kusoma hata mistari miwili ya sentensi iliyoandikwa kwa kiswahili.

Wananchi wakiambiwa adui wa maendeleo yao ni ccm wanabaki kushangaa tu. Nyie wapambe wa viongozi uchwara tokea enzi na enzi mmewakosea sana WaTanzania.

Enzi za Magu tulikupinga sana na Magu wako kuwa, yeye siyo jiwe ajenge taasisi imara kwa kuwezesha katiba nzuri mkashupaza shingo.

Nenda ukasome kitabu cha Rugged Constitution uone jinsi akina George Washington walivyotengeneza katiba yao ya Marekani kuanzia 1778 kwasababu walikuwa na nia nzuri na nchi yao.

Huku sasa kila awamu na wapambe wake ili waendelee kuwanyonya wananchi.
 
Boss, mwenye macho haambiwi tazama!

Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
Nilikuambia ccm wala mwenyekiti wake hana uwezo wa kujenga chama chochote kiwe na mvuto. Zama hizo za ccm kutengeneza vyama mbadala zilishapita. Na sio kwamba zimepita tu, bali zama hizo hazitakaa zirejee tena. Kwa sasa ni nguvu kidogo tu ya dola ndio inawabeba ccm, na yenyewe inaenda kuanguka. Ukitaka turejee nyuzi zile uone nilikuambia nini.
 
Nikikumbuka pale Bunda ameletwa mwenyekiti wa halmashauri mwanadada mbumbumbu asiyeweza kusoma hata mistari miwili ya sentensi iliyoandikwa kwa kiswahili.

Wananchi wakiambiwa adui wa maendeleo yao ni ccm wanabaki kushangaa tu. Nyie wapambe wa viongozi uchwara tokea enzi na enzi mmewakosea sana WaTanzania.

Enzi za Magu tulikupinga sana na Magu wako kuwa, yeye siyo jiwe ajenge taasisi imara kwa kuwezesha katiba nzuri mkashupaza shingo.

Nenda ukasome kitabu cha Rugged Constitution uone jinsi akina George Washington walivyotengeneza katiba yao ya Marekani kuanzia 1778 kwasababu walikuwa na nia nzuri na nchi yao.

Huku sasa kila awamu na wapambe wake ili waendelee kuwanyonya wananchi.
Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo “wajanja” wakafanya yao!
 
Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo “wajanja” wakafanya yao!
The early the better, aliona washauri wake kama maadai wake ila wapambe nuksi kama watu sahihi kwake.
Nikaja kumshangaa tena Dotto Biteko akitumika kusafisha uchafu wa wanamindao bila yeye kutambua kuwa anatumiaka...kitu kilichokuwa wazi kabisa.

Ila kusema kweli, viongozi wetu wengi hawana uelewa kabisa kuhusu siasa bali wamejawa na tamaa za muda mfupi sana. Yaani unakuta mtu anaondoka ndani ya chama chake kisa amepewa ahadi ya kuwa mkuu wa wilaya kitu ambacho anaweza kuondolewa wakati wowote.

Eti Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania, inachekesha kwakweli.
 
Kuhusu samuya huyu watanganyika lazima tutakuja kumalizana naye hata kama ni baada ya miaka 15 toka hivi sasa...

Hawezi kuua ndugu zetu kwa kiasi kile kama anaua mende halafu tukamuacha salama, mbaya zaidi anakuja kujigamba mbele ya adhara na hatuna cha kumfanya... huwa inaniuma kwakweli.

Yule shetani wa kizanzibar angeweza kujibakiza madarakani kama wenzake bila kuua hata mtanganyika mmoja, ila yeye kwa chuki alizonazo kwa watanganyika na akili ndogo zake akaona aua maelfu ya watu kwa kisingizio cha kutuliza fujo, kumbe lengo ni kulinda madaraka, shetani kabisa lile limama.

Huyo ndio raisi ambaye atashikilia record ya raisi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye taifa hili kwa miaka mingi sana kwa mambo mengi ya ovyo aliyoyafanya hasa lile la mauaji ya halaiki...

..na kubwa zaidi kwa upumbav amefanya watanganyika wakose imani na wanawake linapokuja suala la kushika kiti cha uraisi, itachukua muda sana wabongo kuja kumuamini mwanamke kukaa pale juu japo najua wapo wanawake kibao tu wenye uwezo wa kuliongoza hili taifa.

Samia na familia yako hamtakaa mpate amani kwenye nafsi zenu milele japo kwenye media huwa unajionesha huko sawa.

Kama ambavyo umeua na kuumiza familia za watu wewe na genge lako la akina Mafwele, hivyo hivyo pia wewe na familia yako mtaangamia katika mazingira ya kinyama sana, tupo hapa tutaona.
 
Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo “wajanja” wakafanya yao!
Hamna lolote, haya yaliyotokea sasa ni kutokana na ulevi wa madaraka wa Magufuli. Na kwa taarifa yako angeendelea kuwepo bado maandano yangemkuta, maana yeye ndio alikuwa kinara wa kupora chaguzi. Inshort tulijikwaa kwa Magufuli na kuangiaka kwa Samia.

Usitake kuonyesha Magufuli alikuwa na nia nia njema, wakati ndio alilipa nguvu kundi la watu wasiojulikana na sheria nyingi mbaya zilitungwa chini yake.
 
Boss, mwenye macho haambiwi tazama!

Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
Wagombea uchwara wote wa urais walipewa magari, madereva na walinzi wakati wa kampeni na baada ya uchaguzi magari hayo yalirudishwa INEC ila Salum Mwalimu wa Chaumma hadi leo anaendelea kutumia gari hilo
 
Boss, mwenye macho haambiwi tazama!

Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
I thought so.
Nafikiri hili Tindo analifahamu alisahau tu.
 
I thought so.
Nafikiri hili Tindo analifahamu alisahau tu.
Mkuu hili nalifahamu sana, ila ubishi wangu na yeye huko nyuma ni kuwa ccm haina uwezo tena wa kuiua cdm eti kwa kukifanya chama kingine kuwa kikubwa. Yeye alikuwa na nongwa na cdm, hivyo akawa anaamini hujuma za dola dhidi ya cdm zingeweza kuifubaza cdm, na chama kingine kingepandishwa na ccm hadi kuwa na mvuto ama nguvu kuliko cdm. Hadi sasa hilo limeshindikana.
MsemajiUkweli
 
Nimekupata mkuu.
 
Back
Top Bottom