Nikikumbuka pale Bunda ameletwa mwenyekiti wa halmashauri mwanadada mbumbumbu asiyeweza kusoma hata mistari miwili ya sentensi iliyoandikwa kwa kiswahili.Huyu Mama aliambiwa akifanya reform tu ndio itakuwa mwisho wa utawala wake. Hata ndani ya CCM walikuwa hawamtaki ndio maana akajipitisha kuwa mgombea na wapinzani wa kweli nje ya CCM akawazuia kugombea.
Whatever the outcome of her life, she will be held accountable in one way or another!I highly doubt if she will be alive to answer for anything. She is old with a very unhealthy lifestyle.
Nilikuambia ccm wala mwenyekiti wake hana uwezo wa kujenga chama chochote kiwe na mvuto. Zama hizo za ccm kutengeneza vyama mbadala zilishapita. Na sio kwamba zimepita tu, bali zama hizo hazitakaa zirejee tena. Kwa sasa ni nguvu kidogo tu ya dola ndio inawabeba ccm, na yenyewe inaenda kuanguka. Ukitaka turejee nyuzi zile uone nilikuambia nini.Boss, mwenye macho haambiwi tazama!
Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo βwajanjaβ wakafanya yao!Nikikumbuka pale Bunda ameletwa mwenyekiti wa halmashauri mwanadada mbumbumbu asiyeweza kusoma hata mistari miwili ya sentensi iliyoandikwa kwa kiswahili.
Wananchi wakiambiwa adui wa maendeleo yao ni ccm wanabaki kushangaa tu. Nyie wapambe wa viongozi uchwara tokea enzi na enzi mmewakosea sana WaTanzania.
Enzi za Magu tulikupinga sana na Magu wako kuwa, yeye siyo jiwe ajenge taasisi imara kwa kuwezesha katiba nzuri mkashupaza shingo.
Nenda ukasome kitabu cha Rugged Constitution uone jinsi akina George Washington walivyotengeneza katiba yao ya Marekani kuanzia 1778 kwasababu walikuwa na nia nzuri na nchi yao.
Huku sasa kila awamu na wapambe wake ili waendelee kuwanyonya wananchi.
The early the better, aliona washauri wake kama maadai wake ila wapambe nuksi kama watu sahihi kwake.Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo βwajanjaβ wakafanya yao!
Hamna lolote, haya yaliyotokea sasa ni kutokana na ulevi wa madaraka wa Magufuli. Na kwa taarifa yako angeendelea kuwepo bado maandano yangemkuta, maana yeye ndio alikuwa kinara wa kupora chaguzi. Inshort tulijikwaa kwa Magufuli na kuangiaka kwa Samia.Agenda ya kutengeneza taasisi imara ambayo imesimikwa kikatiba ilikuwa ifanywe kipindi cha pili cha utawala wa Magu. Hilo ndilo lilikuwa takwa lake, Hata hivyo βwajanjaβ wakafanya yao!
Wagombea uchwara wote wa urais walipewa magari, madereva na walinzi wakati wa kampeni na baada ya uchaguzi magari hayo yalirudishwa INEC ila Salum Mwalimu wa Chaumma hadi leo anaendelea kutumia gari hiloBoss, mwenye macho haambiwi tazama!
Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
Anaishi kama digidigi.Whatever the outcome of her life, she will be held accountable in one way or another!
I thought so.Boss, mwenye macho haambiwi tazama!
Ungefahamu ni nguvu na pesa kiasi gani kimetumiwa na Rais Samia ili CHAUMA kichukue nafasi ya CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania usingeuliza hili swali.
Hebu kuwa na adabu basiKabla hawajamfanya chochote, wanipe nimpige mkuyenge ili Abduli aniite baba.
Yule mpumbavu aliyeua ndugu zetu akishikwa niite nikamtombeer kabla ya kumpoteza.Hebu kuwa na adabu basi
Umeshindikana πππKabla hawajamfanya chochote, wanipe nimpige mkuyenge ili Abduli aniite baba.
Mkuu hili nalifahamu sana, ila ubishi wangu na yeye huko nyuma ni kuwa ccm haina uwezo tena wa kuiua cdm eti kwa kukifanya chama kingine kuwa kikubwa. Yeye alikuwa na nongwa na cdm, hivyo akawa anaamini hujuma za dola dhidi ya cdm zingeweza kuifubaza cdm, na chama kingine kingepandishwa na ccm hadi kuwa na mvuto ama nguvu kuliko cdm. Hadi sasa hilo limeshindikana.I thought so.
Nafikiri hili Tindo analifahamu alisahau tu.
Mbona kama unachelewaimplausible government with uncharismatic president!
Nimekupata mkuu.Mkuu hili nalifahamu sana, ila ubishi wangu na yeye huko nyuma ni kuwa ccm haina uwezo tena wa kuiua cdm eti kwa kukifanya chama kingine kuwa kikubwa. Yeye alikuwa na nongwa na cdm, hivyo akawa anaamini hujuma za dola dhidi ya cdm zingeweza kuifubaza cdm, na chama kingine kingepandishwa na ccm hadi kuwa na mvuto ama nguvu kuliko cdm. Hadi sasa hilo limeshindikana.
MsemajiUkweli