900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Magu c alikuwa na hangaya na hangaya kasema mimi na maguful tu kitu kimoja sasa untegemea nini naye muuaji tu ni mwendelezo wa kazi iendeleeSi mlidai Magufuli ndo alikuwa anawaua!!
Amefufuka?
Mkuu mbona watuwekea picha ya mto uliopo Kenya iliyotumika Kenya mwaka 2012?Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza.
Maiti za wanawake watatu zaokotwa kando ya mto.
-----
Wanawake watatu wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 30 wameuawa na watu wasiojulikana na miili yao kukutwa pembezoni mwa mto eneo la Nyakato/Buzuruga jijini Mwanza.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gidion Msuya ameliambia Mwananchi kwa simu leo Jumatano Januari 19, 2022 kuwa uchunguzi unaendelea kuhusu tukio hilo ikiwamo kuwatambua marehemu na kuwasaka waliohusika na mauaji hayo.
“Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando kwa ajili ya utambuzi na uchunguzi zaidi,” amesema Kaimu kamanda Msuya.
Ingawa hadi Saa 12 jioni hii haijajulikana ni lini, wapi na kwa njia gani mauaji hayo yalifanyika, lakini miili ya wanawake hao ilionyesha kuwa walikatwa na kitu chenye ncha kali kutokana na majeraha yaliyoonekana maeneo ya shingoni.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa mtaa wa Mecco eneo la Nyakato zilikookotwa maiti hizo, Scolastica Barnabas amesema pamoja na kukutwa na majeraha shingoni, miili yao ilikuwa tupu haijavikwa nguo.
“Tunaviomba vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote waliohusika kufanya mauaji haya,” amesema Scolastica.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, Godfrida Yohana na Jonas Mghira waliozungumza kwa nyakati tofauti waliiomba jamii kusaidia kutoa taarifa zitakazowezesha wahusika wa mauaji hayo kubainika na kufikishwa mahakamani na kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria.
Chanzo: Mwananchi
View attachment 2088986
Pamoja MkuuUmeshaandikwa upo utafute huyo bint ni huyu View attachment 2093615
Sad [emoji21][emoji21][emoji21]Songea nayo kuna mwanadada kunyongwa tena wa miaka 17 na mamlaka zimekaa kimya kama hakuna kilichotokea
Fikiria tu braza hawana kosa kabisa. Lakini jiwe anafufuka na kuwaua halafu tena anakimbia kujificha kuzimu. This time tunamlia taiming. We will permanently fix him up.Tupostie izo taarifa!!
maana ujue kutofautisha wahaini na raia
sasa ao wanawake n wanauhaini gan
Ile roho ya mauaji iliyopandikizwa still inatenda Kazi hadi leoSi mlidai Magufuli ndo alikuwa anawaua!!
Amefufuka?
Wasiojulikana wapo kaziniSi tulisema haya mambo ni ya awamu ya tano?
Hasa bila kuwamaliza wale wa awamu ya tanoWasiojulikana hawatakaa waishe milele.
Wenye mimba za chuki zaHuyo pimbi mambo yake hayataisha leo,wengi watakuwa wanaiga mambo yake hasa ubanaji wa democracy
Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza.