Maudhui ya vipindi vya wanawake katika televisheni za Tanzania yatazamwe upya

Maudhui ya vipindi vya wanawake katika televisheni za Tanzania yatazamwe upya

Relax bro,jamii zimebadilika sana tofauti na zamani.Zamani kukuta single maza ilikuwa rare,cku hizi wamejaa kuliko hata wenye ndoa.Nao lazima wapate wazungumzaji.Udhaifu wa mwanamke uko kiasili tangu anaumbwa,kila alichopewa kiko limited kuanzia akili mpaka nguvu za mwili.So hata iweje haitotokea wanawake wakawa juu ya wanaume.Wanachopigania ni recognition tu.
Tatizo brother tukiliacha hili Ni tatizo pia kwetu sababu Hawa ndio Wake zetu au hawa wanaenda kuwa marafiki wa Wake zetu. Pia Mabinti zetu wanaweza kujifunza Kupitia hawa.
So kuna haja Kufanya kitu kudhibiti hili KAMA TUTAWEZA.
 
Wanawake wanaoanzisha mada chonganishi zinahusu mahusiano 90% ni single mother au walilelewa Na single mother.......
Ni kweli Mkuu ni wale wanawake waliojikatia tamaa kuhusu kupata familia bora ubaya zaidi wanataka na wanawake wote waamini kuwa Suala la familia bora HALIWEZEKANI.
 
kitu wasichojua wanawake ni kwamba mwanamke mtii (utii wa dhati sio wa kutak kuomba kitu)kwa muwewe huwa wanapewa heshima kubwa na waume zao.
Hapa umesema ukweli ambao wanawake wa kisasa hawataki kuuishi. Wanaona kumtii Mume ni kujidhalilisha (Utumwa)
 
Joyce Kiria na wale wa EATV ni feminists wanaoharibu kizazi cha mabinti wanaokua

Wana mada ovu sana zinazoharibu maadili ikiwezekana vipindi vifungiwe
Ni kweli Mkuu Mamlaka husika ziingilie kati hakuna cha maana wanachokitengeneza katika jamii.
 
DADAZ, Kipindi cha machoko watatu wanahamasisha usimbe.
 
Hakika Mkuu umenena yaliyo kweli tupu 100% Hivi vipindi bila kupigwa maarufuku basi tutavuna mabua!!

Mimi nimeshapiga maarufuku kabisa kuangaliwa hapo kwangu lkn wasiwasi wangu Hivi vipindi huenda huangaliwa nikiwa kazini.

Kuna yule mkurya anasema haitakiwi mwanaume aagwe kwamba anaondoka kwenda mahala fln Tena
Akasisitiza kuwa ni utumwa kumtii mwanaume na kumfanya awe juu ya mwanamke.

Naamini kabisa sio wao wayasemayo hayo Bali Kuna hamasa na malipo manono nyuma ya pazia!!

Wapo pale kufanikisha tu.
 
Shida kubwa pia Iko Kwa wanaume hata humu wamo % kubwa wametaliwa na wake zao hivyo familia ana I control mwanamke atakavyo.

Ukweli Mimi familia yangu naiendesha kibabe yaani tulivyo lelewa na mzee wangu Nami napita mle mle Tena Kuna mengine na boresha.

Maana najua wazi kama mzee angelegeza basi hata familia hii au haya mafanikio kidogo niliyo nayo nisingekuwa nayo.


Bahati nzuri hata shemej/wifi yenu kalelewa Kwa wakoloni vilevile.

Yani mwanamke alikuwa na mipaka yake vilevile mwanaume pia.

Ilikuwa kosa kubwa mno hata kula Kwa wanawake hata Watoto wa miaka4 walikuwa wanakula Kwa wanaume pembeni wakiwa wamekatiwa ugali wao.


Ni maarufuku kabisa kwenda kukaa jikoni yaani 😅😅😅mzee alikuwa mtata sana lkn yte Kwa yte Nashukuru sana 🙏🙏🙏
 
Mie huwa wananiudhi.....

Kila mtu ajipambanie, ukiichoka familia ishia zako sio kuanza kutafuta wafuasi.
 
Back
Top Bottom