Mshkaji family friend = Name is too long. By Tecno C 8Mi nimeusevu jina la mshkaji family friend so ata wife akiona last call anadhani ni mshkaji.
Hii tambia mbaya sana [emoji34] . Kuna jamaa yangu aliusave mchepuko wake jina langu, siku moja tumekaa mahali akawa ametoka mkewe kamisplace akaniomba simu yangu apige ajue iko wapi. Mi nilimpatia akafanya hivyo akaiona simu yake. Baadae akaniuliza shem umebadili namba mi nikakataa.Mi nimeusevu jina la mshkaji family friend so ata wife akiona last call anadhani ni mshkaji.