Maujuzi: Umesevuje mchepuko wako

Maujuzi: Umesevuje mchepuko wako

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Mi nimeusevu jina la mshkaji family friend so ata wife akiona last call anadhani ni mshkaji.
 
Mmoja nimemsave Serikali kuu maana nampenda zaidi mwingine nimemsave tamisemi na mwingine nimemsave DG
 
Mi nimeusevu jina la mshkaji family friend so ata wife akiona last call anadhani ni mshkaji.
Hii tambia mbaya sana [emoji34] . Kuna jamaa yangu aliusave mchepuko wake jina langu, siku moja tumekaa mahali akawa ametoka mkewe kamisplace akaniomba simu yangu apige ajue iko wapi. Mi nilimpatia akafanya hivyo akaiona simu yake. Baadae akaniuliza shem umebadili namba mi nikakataa.

Hapa akashtuka maana call za jamaa na mchepuko wa za usiku usiku akaanza kuifuatilia mpaka akashtukia mchezo mchafu wa jamaa.
 
Back
Top Bottom