Maulid Baraka wa Kitenge

Maulid Baraka wa Kitenge

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri alionao, bila kusahau heshima yake kwa jamii, ni wa kufanya kitu cha namna hii?
Eti wadau...
 
Mphamvu, Mimi nataka nimuone kwanza.... nahisi unatania.....
 
alikua ananyoa mtindo huo kwa muda mrefu ila siku hizi ameongeza mbwembwe na ameonekana km ze comedy
 
Haya muhusu mtu maisha yake afanye anavyotaka kufanya kichwa chake nywele zake....
 
mmh si ndio celebrety life ilo unakuja vingine kila siku ili usichuje, age no. tu mbona.
 
Nywele zake ndio zilivyo,hazikui pembeni ndo maana mda wote ananyoa dongo..acheni uswahili.
 
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri alionao, bila kusahau heshima yake kwa jamii, ni wa kufanya kitu cha namna hii?
Eti wadau...

Mbona Slaa kaoa mtoto mdogo

Hata kama ni kweli haituhusu sisi ni maswala yao binafsi, Hata hivyo wote sijaona wapi wamekiuka sheria za nchi.
 
What's wrong with 'kiduku' style, kwa nini msiwashangae wanaoweka curl na kusuka nywele? Helen je? Na sasa hizo suruali mnaona zinavyovaliwa, eti ni swaga!!
 
mwacheni mtu na maisha yake mbona cpwa anafuga dread lock au yule mtangazaji wa SS anavaa kipini msipige kelele. WARNING: USINIELEZE MASWALA YA MAADILI HUKU MAADILI YENYEWE YAMEKUFA.
 
Back
Top Bottom