Maulid Kitenge nilimsikia akitoa malalamiko aliyo dai ni ya wananchi na kuyaelekeza kwenye mamlaka ya barabara nchini-Tanroads, kuhusiana na maeneo ya Dumila kwambakuna tuta halina alama ya barabarani na kudai kwamba inahatarisha maisha ya watu wanaotumia usafiri wa moto wanaopita eneo hilo.
Your browser is not able to display this video.
Nashauri angetumia muda huo kuelimisha wananchi Wasiibe alama za barabarani. Watu wanang'oa vyuma wanaenda kuuza chuma chakavu. Hata hivyo kwa Dumila hakuna aliyeiba, alama ipo.
Sasa mimi jana nimepita nikatafuta hilo tuta lisilo na alama silioni. Moja kwa moja nikajua kwamba Kitenge kadanga au kafanya makusudi edha kwa kujua au kwa kutokujua.
Alama Dumila zipo na nimebahatika kupiga picha. Tujitahidi kufanya utafiti kabla ya kusambaza taarifa za uongo.
Amepotosha, sehemu ambayo inawwza kuwa inalalamikiwa ni Kongwa kama sikosei.
Ukitokea Morogoro ukifika pale centre kuna tuta siyo la kupunguza mwendo pale linaigawa barabara, kwa jinsi lilivyowekwa pale ni rahisi kusababisha ajali usiku, hasa mtu akiwa na ugeni wa barabara.

Maulid Kitenge nilimsikia akitoa malalamiko aliyo dai ni ya wananchi na kuyaelekeza kwenye mamlaka ya barabara nchini-Tanroads, kuhusiana na maeneo ya Dumila kwambakuna tuta halina alama ya barabarani na kudai kwamba inahatarisha maisha ya watu wanaotumia usafiri wa moto wanaopita eneo hilo. View attachment 2756907
Nashauri angetumia muda huo kuelimisha wananchi Wasiibe alama za barabarani. Watu wanang'oa vyuma wanaenda kuuza chuma chakavu. Hata hivyo kwa Dumila hakuna aliyeiba, alama ipo.
Sasa mimi jana nimepita nikatafuta hilo tuta lisilo na alama silioni. Moja kwa moja nikajua kwamba Kitenge kadanga au kafanya makusudi edha kwa kujua au kwa kutokujua.
Barabara zote kwanza unakutana na kibao nyuma mbali tu.kinakuonyesha kuna tuta.mbele au kuna sehemu wanavuka watu yaani zebra Crossing au wanyama
Kuwa punguza mwendo .Baada ya hapo utakutana na kibao kingine kinaonyesha uende kilomita ngapi kwa saa ndipo unakuta zebra crossing au tuta sio.lazima liwepo tuta mjinga huyo
Barabara ya Dumila ni barabara kuu ina vibao vyote
Jeshi la polisi na Tanroads wamwite wamhoji kwa kudhalilisha jeshi la polisi na Tanroads wamburuze mahakamani kwa kudhalilisha Tanroads kuwa hawajui kazi yao na Jeshi la polisi limburuze mahakamani kwa udhalilishaji