Maulid Kitenge aondoka Wasafi FM

nikweli kabisa haiwezekani kamishina TRA apokee mshahara ulingane na mtangazaji wabongo tena kwakigezo kipi
 
Naona Kitenge alikuwa WASAFI kwa mkopo. Hii biashara ya media naona imekua.
 
Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale
Af Farhan kumbe kabwana mdogo tu kamemaliza a-level 2017..Dogo ana logic sana.
 
Studio wamejazana hadi wengine kama zembwela ngota yake imemezwa ndo kabisaa hasikiki tena
Aliyewaambia wasafi kujaza watangazaji kwenye kipindi kimoja na wote wanaongea at the same time ndo kuwa na kipindi bora ni nani?..
 
Aiseeee Yule dogo hapana shafii
Hapo hawez kubali kabsa Bora wampeane
Yahaya au privadhino maana hawa n wapga kelele Tu pale

Kwani Shafih ni nani pale Clouds?
 
Genta charismatic fellow...nmekuelewa sana...ila hapo kwe #kazimaalum hapo...naomba nipigie zaidi mstari
 
Aliyewaambia wasafi kujaza watangazaji kwenye kipindi kimoja na wote wanaongea at the same time ndo kuwa na kipindi bora ni nani?..
Hapo sasa ni kubishana tuu kila mmoja anataka asikike yeye tuu
 
Mbona Lily Ommy anayo, yule jamaa nilisikia japo sihathibitisha anahamia huko US sijajua kapata kazi gani.
Wewe hata Ommy subiri tu.Maana wafanyakazi wengine nao watataka waruhusiwe.Eti apate kazi USA kwa elimu gani aliyonayo ?
 
Wewe hata Ommy subiri tu.Maana wafanyakazi wengine nao watataka waruhusiwe.Eti apate kazi USA kwa elimu gani aliyonayo ?
Kwani ana level gani ya elimu?

Halafu sio kila anayehama ana beef na mmiliki, industry ya habari siku hizi ipo vizuri, husishangae kesho kitenge au Jonijo wamerudi Wasafi, hii biashara watu wanaangalia maslahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…